Tangu miongo mitatu, Kikundi cha Hospitali za Yashoda zimepiga hatua kama kituo cha ubora katika tiba zikitoa huduma zenye viwango vya juu za kutibu wagonjwa wakisafiri kutoka sehemu mbali mbali za ulimwengu na kutufanya kuwa miongoni hospitali bora zaidi nchini India kwa ajili ya utali wa kimatibabu
Kazi zetu kila wakati zimekuwa zikiongozwa na mahitaji ya wagonywa na kutolewa muungano wetu mkamilifu wa teknolojia pindukizi, utendaji bora wa kimatibabu na utaratibu wa hali ya juu.
Hospitali 4 huru zilizo na leseni ya NABH na NABL
Vituo 3 vya Moyo
Vituo 3 vya Saratani
Kituo cha upandikizaji wa viungo tofauti
Vitanda 4000
Tiba 62 maalum
Madakitari 700 maalum
Zimetibu zaidi ya wagonjwa 3,000,000 katika kipindi cha miaka 5 iliyopita
Kituo cha Saratani cha Yashoda kime kuwa kufanyika moja ya Vituo vya Ubora nchini India. Kituo kinahudumia zaidi ya wagonjwa 16,000 wa saratani kila mwaka kutoka kote nchini India nan chi jirani.
Katika Hospitali za Yashoda, mpango wa upandikizaji ni miongoni mwa mipango ya juu zaidi nchini India ya kupandikiza viungo. Timu yetu ya wataalamu mbali mbali ya madakitari wa upandikizaji, wapasuaji wa upandikizaji, maratibu wa upandikizaji, wauguzi, wataalamuwa lishe, watoaji dawa na wafanyakazi wengine hutoa huduma bora iwezekanavyo.
Tunatoa huduma za kisasa ikiwa pamoja na usafishaji wa damu kwa mgonjwa wa figo, kumudu magonjwa ya maini, kumudu magonjwa ya figo, upasuaji kwaajili ya upandikizaji na huduma ya upandikizaji kwa watoto.
Sehemu ya Ubadilishaji wa viungo vya mifupa vime taalumia athroskopia, ikishuhgulikia kupona kwa jeraha, jeraha la uti wa mgongo na hali tatanishi za kuweka viungo mbadala hufanyika hapa kuhakikisha kuwa unapata afya kamili ya viungo na mifupa chini ya utunzaji wetu. Tukiwa na madakitari wa mifupa walio bora kutoka nchini kote, tunatoa matibabu ya kujitolea kwa matatizo yote ya mifupa, yawe madogo au makubwa. Matibabu yetu yanahusisha upasuaji ambao kidogo huwa wa kindani kwa ajili ya kuponya majeraha au kurekebisha mifupa. Timu yetu ya wataalamu wa nusukaputi, wapasuaji wa mifupa, dakitari wa ugonjwa wa baridi-yabisi na wataalamu wa urekebishaji wako hapa kufanya kupona kwako kuwe laini na wa haraka.
Sisi katika Hospitali ya Yashoda tunalenga kutoa huduma za mfumo wa neva zilizo za hali ya juu kisayansi na zilizo stadi. Timu ya wataalamu hodari wa mfumo wa neva wana uwezp wa kutambua na kutibu zaidi ya magonjwa 1100 ya mfumo wa neva.
Katika Hopitali za Kundi la Yashoda, tunajitahidi kuwapa wagonjwa wetu huduma za kimataifa za upasuaji kuhusiana na fetma na hali za afya zinazohusiana nayo. Tunatoa wigo kamili wa huduma za kupunguza uzito ikiwa pamoja na upasuaji wa ndani, upausaji unaotumia roboti, na huduma zinazo saidiwa na video. Tunahusika sana na kuliangalia swala la fetma tukitumia njia za kisasa na teknolojia za hali ya kisasa zaidi; kwa sababu kupunguza uzito mara nyingi huwa sio rahisi kama inavyosikika.
Kituo cha ubora cha kuhudumia njia ya mkojo la Kundi la Hospitali za Yashoda hutoa huduma za matibabu na upasuaji zinazomwelekea mgonjwa zikiangalia hali ya afya ya njia ya mkojo kwa wanawake na wanaume pamoja na sehemu za uzazi za wanaume. Wataalamu wetu wa njia ya mkoto hufanyakazi kwa ukaribu sana na wagonjwa kutengeneza mipango ya matibabu ya kibinafsi ambayo inahusisha tiba za dawa na upasuaji kwa matatizo mengi ya njia ya mkojo. Kufanya kazi kwa karibu na wataalamu wa figo, wataalamu wa sehemu za uzazi za wanaume na wataalamu wa vimbe za njia za mkojo pia huwapa wagonjwa wetu huduma kamili zaidi inayowezakupatikana na kuruhusu matokea bora zaidi.

Usaidizi na FRRO (Afisi ya Kikanda ya Kuandikisha Wageni) Fomu za kuwasili